Machapisho

BADILIKA MAANA ULIPO HAPAKUFAI.

Picha
"Ondokeni mwende zenu; maana hapa sipo mahali pa raha yenu; kwa sababu ya uchafu mtaangamizwa, naamu,kwa maangamizo mazito sana" Mika 2:10 Wakati wote tumesimama mahali tusipostahili kuwepo, tunahitaji mabadliko yatakayotutoa katika hali tuliyonayo! Ni kwa nini tuendelee kuteseka, ni kwa nini tuendelee kukata tamaa! JIKWAMUE! Ni blog inayokupa mwangaza utakaokupa matumaini mbeleni. Tunaangazia maswala ya kiroho, kijamii,kiafya,kiuchumi  na kielimu. Tunafuata mfano wa Yesu kwa kuangalia maisha yake alivyoishi, lengo ni kuwa ili tuweze kuyaona maisha mapya baada ya maisha haya. "Naye Yesu akazidi kuendelea kukua katika hekima na kimo  akimpendeza Mungu na wanadamu". Luka 2:52 HIVYO KUMCHA BWANA NDICHO CHANZO CHA HEKIMA........ Jikwamue kuondokana na maisha duni uliyo nayo, fanya urafiki na Yesu!!!